powered by SignMyGuestbook.comLanguage Log

Tuesday, Jul. 15, 2008 - 7:46 a.m.

Apropos of the Nikon Coolpix ad on flickr, I have to say that I think I hate Ashton Kucher.

Na pia imekuwa muda mrefu tangu niliandika kwa Kiswahili. Siku hizi ninapoteza kidogokidogo uwezo wangu kusema lugha hiyo, na sitaki SANA kupoteza. Nilifanya masomo kwa muda mrefu na pia ninakipenda mno. Kwa hivyp labda nitaanza kuandika hapa tena, hata kama mimi tu ninaelewa. Labda nipate kitabu fulani kusoma pia. NInakutana na mwalimu wangu kila mwezi na ninazungumza kwa Kiswahli naye, na pia na rafiki yangu kila wiki-- lakini rafiki atahami mwisho wa kiangazi. Itakuwa mimi mwenyewe tu. *sigh*

previous next

 

Leave a note